Nafasi za Kazi Wilaya ya Kigoma 2026

Filed in Ajira by on January 5, 2026

Bonyeza KUJIUNGA NASI WHATSAPP Kwa nafasi za kazi, matangazo mbalimbali Ajira mpya kutoka Serikalini, Kampuni, Taasisi mbalimbali TAESA, Viwandani, Internships.

Hili hapa tangazo la nafasi za kazi au ajira mpya Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Kigoma anawatangazia Watanzania wenye sifa kuomba nafasi sita (6) za kazi katika Halmashauri hii baada ya kupata kibali kutoka Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora. kwa mchanganuo ufuatao.

Ajira Mpya zilizotangazwa na Maelezo

1. Dereva Daraja la II – Nafasi 3

2. Mwandishi Mwendesha Ofisi – Nafasi 3

Soma: Nafasi za Kazi Idara ya Uhamiaji Zanzibar 2026

Jinsi ya Kutuma maombi Handeni

Barua ya maombi iliyosainiwa iandikwe kwa lugha ya Kiswahili au Kiingereza na ielekezwe kwa:

Mkurugenzi Mtendaji,
Halmashauri ya Wilaya ya Kigoma,
S.L.P 332 .
KIGOMA.

Mwisho wa kupokea maombi ni tarehe 18 Januari, 2026.

Waombaji watakaoteuliwa katika orodha ya awali (shortlist) pekee ndio watakaopata taarifa kuhusu tarehe ya usaili.

Uwasilishaji wa vyeti vya kughushi au taarifa zisizo za kweli utachukuliwa kama kosa la kisheria na hatua stahiki zitachukuliwa dhidi ya mhusika.

Maombi yote yawasilishwe kupitia Mfumo wa Ajira (Recruitment Portal) kwa kutumia anuani ifuatayo:
http://portal.ajira.go.tz
(Anuani hii pia inapatikana kwenye tovuti ya PSRS kwa kubofya sehemu ya ‘Recruitment Portal’).

Bonyeza hapa kudownload PDF

Maombi yatakayowasilishwa kwa njia nyingine yoyote tofauti na mfumo uliobainishwa hayatazingatiwa.

Soma zaidi”

Tags:

Comments are closed.