Ratiba Ya Mtihani Wa Kidato Cha Pili (FTNA) 2026
Ratiba Ya Mtihani Wa Kidato Cha Pili (FTNA) 2026 Imetolewa Na Baraza La Mitihani La Tanzania (NECTA).
Ratiba Ya Mtihani Wa Kidato Cha Pili 2026
Mitihani Inatarajiwa Kuanza Jumatatu, Tarehe 02 Novemba 2026, Na Kumalizika Ijumaa, Tarehe 13 Novemba 2026.
Unaweza Kupakua Ratiba Rasmi Kupitia Tovuti Ya NECTA: https://www.necta.go.tz
https://www.necta.go.tz/webroot/uploads/news/FTNA_2026_TIMETABLE.pdf
Tags: Kidato Cha Pili