Nafasi za Kazi Wizara ya Afya Saudi Arabia 2026

Filed in Ajira by on April 4, 2026

Hili hapa tangazo la nafasi za kazi Ofisi ya Waziri Mkuu – Kazi, Ajira na Mahusiano kwa kushirikiana na kampuni ya “Dalba Consulting Group” inapenda kuwakaribisha Watanzania wenye sifa stahiki kutuma maombi kwa ajili ya kujaza nafasi 300 za Uuguzi zilizotolewa na Wizara ya Afya ya nchini Saudi Arabia kama ilivyoelezwa katika jedwali hapa chini:-

Ajira Mpya zilizotangazwa Wizara ya Afya Saudi Arabia

1. Wauguzi – Nafasi 300

Download PDF hapa

Soma zaidi:

Nafasi za Kazi TIA na TMA 2026

Filed in Ajira by on April 3, 2026

Hili hapa tangazo la nafasi za kazi Kwa niaba ya Taasisi ya Uhasibu Tanzania (TIA) na Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA), Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma (PSRS) inawatangazia Watanzania wote wenye sifa kuomba nafasi za kazi zilizo wazi.

Tunakaribisha wataalamu wenye uwezo wa hali ya juu, wanaolenga matokeo, wanaojituma, wenye uadilifu, wachapakazi na waliohitimu ipasavyo kujaza jumla ya nafasi ishirini na nne (24) kama zilivyoainishwa hapa chini.

Ajira Mpya zilizotangazwa Mwanga

1. Msaidizi wa Afisa Hali ya Hewa Daraja la II – Nafasi 22

2. Mhadhiri Msaidizi (Ununuzi na Usimamizi wa Ugavi) – Nafasi 2

Download PDF hapa

Soma zaidi:

Nafasi za Kazi Wilaya ya Kyela 2026

Filed in Ajira by on February 22, 2026

Hili hapa tangazo la nafasi za kazi Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Kyela anawatangazia Watanzania wenye sifa kuomba nafasi za kazi nane (08) katika Halmashauri hii baada ya kupata kibali kutoka Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora kwa mchanganuo ufuatao:-

Ajira Mpya zilizotangazwa Kyela

1. Dereva – Nafasi 6

2. Mwandishi Mwendesha Ofisi – Nafasi 2

Download PDF hapa

Soma zaidi:

Orodha ya Vyuo Vikuu Tanzania 2026

Filed in Elimu by on February 19, 2026

Pata orodha kamili ya vyuo vikuu Tanzania vilivyosajiliwa na TCU, ikijumuisha vyuo vya umma na binafsi. Angalia majina, makao makuu na maelezo mafupi ya kila chuo.

Katika kuchagua chuo kikuu, ni muhimu kupata taarifa sahihi na zilizothibitishwa. Makala hii inakupa orodha ya vyuo vikuu Tanzania vilivyosajiliwa na kutambuliwa na Tanzania Commission for Universities (TCU). Taarifa hizi zitakusaidia kufanya uamuzi sahihi kuhusu masomo ya shahada, stashahada au uzamili.

Vyuo Vikuu vya Umma Tanzania

Hivi ni vyuo vikuu vinavyomilikiwa na Serikali ya Tanzania:

  1. Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) – Dar es Salaam
  2. Chuo Kikuu cha Kilimo Sokoine (SUA) – Morogoro
  3. Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) – Dodoma
  4. Chuo Kikuu cha Afya na Sayansi Shirikishi Muhimbili (MUHAS) – Dar es Salaam
  5. Chuo Kikuu cha Ardhi (ARU) – Dar es Salaam
  6. Chuo Kikuu Huria cha Tanzania (OUT) – Dar es Salaam
  7. Chuo Kikuu cha Mzumbe (MZUMBE) – Morogoro
  8. Chuo Kikuu cha Nelson Mandela cha Sayansi na Teknolojia (NM-AIST) – Arusha
  9. Chuo Kikuu cha Mkwawa (MUCE) – Iringa
  10. Chuo Kikuu Kishiriki cha Elimu Dar es Salaam (DUCE) – Dar es Salaam

Vyuo Vikuu Binafsi Tanzania

Hivi ni vyuo vikuu vinavyomilikiwa na taasisi au mashirika binafsi:

  1. Chuo Kikuu cha Mtakatifu Augustino Tanzania (SAUT) – Mwanza
  2. Chuo Kikuu cha Tumaini (TUMAINI) – Matawi mbalimbali
  3. Chuo Kikuu cha Iringa (UoI) – Iringa
  4. Chuo Kikuu cha Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere (MNMA) – Musoma
  5. Chuo Kikuu cha Kiislamu Morogoro (MUM) – Morogoro
  6. Chuo Kikuu cha Kampala International (KIUT) – Dar es Salaam
  7. Chuo Kikuu cha Hubert Kairuki Memorial (HKMU) – Dar es Salaam
  8. Chuo Kikuu cha Kimataifa cha Marekani Tanzania (AUW) – Arusha
  9. Chuo Kikuu cha St. Joseph Tanzania (SJUIT) – Dar es Salaam
  10. Chuo Kikuu cha Ruaha Katoliki (RUCU) – Iringa

Tafta orodha nzima ya vyuo vikuu Tanzania 2026

Jinsi ya Kuhakikisha Chuo Kimesajiliwa

Ili kuhakikisha chuo unachochagua kimesajiliwa rasmi:

  • Tembelea tovuti rasmi ya Tanzania Commission for Universities (TCU)
  • Angalia orodha ya vyuo vilivyopata kibali (Accredited Universities)
  • Hakikisha programu unayotaka kusoma imeidhinishwa

Maswali Yanayoulizwa Mara kwa Mara

1. Ni vyuo vingapi vipo Tanzania?

Idadi hubadilika kulingana na usajili mpya na hadhi ya vyuo. Kwa kawaida kuna zaidi ya vyuo vikuu 40 vilivyosajiliwa na TCU (ikijumuisha vya umma na binafsi).

2. Je, vyuo vya umma ni bora kuliko binafsi?

Ubora hutegemea programu, miundombinu, wahadhiri na ithibati ya TCU—sio umiliki pekee.

3. Ninawezaje kuomba chuo kikuu?

Maombi mengi hupitia mifumo ya udahili ya vyuo husika au kupitia mwongozo wa TCU kila mwaka wa masomo.

Hitimisho

Kupata orodha ya vyuo vikuu Tanzania 2026 ni hatua ya kwanza katika safari ya elimu ya juu. Hakikisha unachagua chuo kilichosajiliwa na Tanzania Commission for Universities (TCU) na programu iliyoidhinishwa. Uamuzi sahihi leo unaweza kuathiri mafanikio yako ya baadaye.

Kwa taarifa za kina na zilizosasishwa, tembelea tovuti rasmi ya TCU au chuo husika.

Soma zaidi:

Kozi za Kusoma Mwanafunzi wa Kombi ya HGL

Filed in Elimu by on February 14, 2026

Kozi za Kusoma Mwanafunzi wa Kombi ya HGK History, Geography and Kiswahili (HGK) Awe amefaulu masomo yote kwenye tahasusi.

Kada tarajiwa

  • Ualimu
  • Archeology
  • Ukalimani
  • Sheria
  • Uandishi wa Habari
  • Rasilimaliwatu
  • Uthamini majengo na ardhi
  • Ugavi
  • Ukutubi
  • Utunzaji wa Kumbukumbu
  • Utawala
  • Sayansi ya Siasa
  • Diplomasia
  • Sosholojia n.k

Angalia zaidi kwenye tovuti ya creedforum

Soma zaidi:

Kozi za Kusoma Mwanafunzi wa Kombi ya HGK

Filed in Elimu by on February 14, 2026

Kozi za Kusoma Mwanafunzi wa Kombi ya HGK History, Geography and Kiswahili (HGK) Awe amefaulu masomo yote kwenye tahasusi.

Kada tarajiwa

  • Ualimu
  • Archeology
  • Uandishi wa Habari
  • Rasilimaliwatu
  • Uthamini majengo na ardhi
  • Ugavi
  • Ukutubi
  • Utunzaji wa Kumbukumbu
  • Utawala
  • Sheria
  • Sayansi ya Siasa
  • Diplomasia
  • Sosholojia n.k

Angalia zaidi kwenye tovuti ya creedforum

Soma zaidi:

Nafasi za Kazi Mji Njombe 2026

Filed in Ajira by on February 12, 2026

Hili hapa tangazo la Mkurugenzi wa Halmashuri ya Mji Njombe anawatangazia watanzania wenye sifa za kuomba nafasi za kazi sita (6) katika Halmashauri hii baada ya kupata kibali kutoka Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora kwa mchanganuo ufuatao.

Ajira Mpya zilizotangazwa Mwanga

1. Dereva – Nafasi 6

Download PDF hapa

Soma zaidi:

Kuitwa kwenye Usaili Uhamiaji 2026

Filed in Ajira by on February 9, 2026

Leo tarehe 09 Februari, 2026, Kamishna Jenerali wa Uhamiaji anawatangazia vijana wote walioomba Ajira kupitia Mfumo wa e-Ajira wa Uhamiaji kutembelea akaunti zao za maombi ya ajira kupitia tovuti ya Uhamiaji https://www.immigration.go.tz na kwa barua pepe zao ili kupokea taarifa na maelekezo ya tarehe na eneo la kufanya usaili kwa waliochaguliwa.

Wasailiwa wote wanatakiwa kuwa na namba ya ombi la Ajira (Application ID) kama ilivyotumwa kwenye akaunti na barua pepe ya mwombaji, Kitambulisho chenye picha yake (Mfano, Kitambulisho cha Taifa, Kitambulisho cha Mkazi, Kadi ya Mpiga Kura, Pasipoti au Kitambulisho chochote kinachomtambulisha kwa sasa) pamoja na Kalamu ya wino wa bluu.

Kwa wasailiwa wenye fani za TEHAMA, udereva na ufundi magari wajiandae kwa usaili wa vitendo (Practical Examination). Aidha, Wasailiwa wote watatakiwa kujigharamia chakula, usafiri na malazi wakati wote wa zoezi la usaili. Kwa changamoto/maulizo wasilisha kupitia: ajira@immigration.go.tz.

Limetolewa na;
Kamishna Jenerali wa Uhamiaji
09 Februari, 2026

Soma zaidi:

Walioitwa kwenye Usaili Uhamiaji 2026

Filed in Ajira by on February 9, 2026

Leo, Kamishna Jenerali wa Uhamiaji anawatangazia vijana wote walioomba Ajira kupitia Mfumo wa e-Ajira wa Uhamiaji kutembelea akaunti zao za maombi ya ajira kupitia tovuti ya Uhamiaji https://www.immigration.go.tz na kwa barua pepe zao ili kupokea taarifa na maelekezo ya tarehe na eneo la kufanya usaili kwa waliochaguliwa.

Wasailiwa wote wanatakiwa kuwa na namba ya ombi la Ajira (Application ID) kama ilivyotumwa kwenye akaunti na barua pepe ya mwombaji, Kitambulisho chenye picha yake (Mfano, Kitambulisho cha Taifa, Kitambulisho cha Mkazi, Kadi ya Mpiga Kura, Pasipoti au Kitambulisho chochote kinachomtambulisha kwa sasa) pamoja na Kalamu ya wino wa bluu.

Kwa wasailiwa wenye fani za TEHAMA, udereva na ufundi magari wajiandae kwa usaili wa vitendo (Practical Examination). Aidha, Wasailiwa wote watatakiwa kujigharamia chakula, usafiri na malazi wakati wote wa zoezi la usaili. Kwa changamoto/maulizo wasilisha kupitia: ajira@immigration.go.tz

Limetolewa na;
Kamishna Jenerali wa Uhamiaji
09 Februari, 2026

Nafasi za Kazi Wilaya ya Mwanga 2026

Filed in Ajira by on February 7, 2026

Hili hapa tangazo la nafasi za kazi Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Mwanga anatangazia Watanzania wenye sifa kuomba nafasi za kazi tisa (09) katika Halmashauri hii baada ya kupata kibali kutoka Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora kwa mchanganuo ufuatao.

Ajira Mpya zilizotangazwa Mwanga

1. Dereva – Nafasi 5

2. Mwandishi Mwendesha Ofisi – Nafasi 4

Download PDF hapa

Soma zaidi: