Nafasi za Kazi IAA 2025
Bonyeza KUJIUNGA NASI WHATSAPP Kwa nafasi za kazi, matangazo mbalimbali Ajira mpya kutoka Serikalini, Kampuni, Taasisi mbalimbali TAESA, Viwandani, Internships.
Hili hapa tangazo la nafasi za kazi (ajira) Chuo Cha Uhasibu Arusha (IAA), maarufu kama IAA, ni taasisi ya elimu ya juu ya umma nchini Tanzania inayotoa mafunzo ya kitaaluma na kitaalamu katika nyanja za uhasibu, biashara, usimamizi, teknolojia ya habari, na sayansi za jamii.
Chuo cha IAA inalenga kuzalisha wahitimu wenye ujuzi wa vitendo, maadili, na uwezo wa kukidhi mahitaji ya soko la ajira la kisasa.
Ajira Mpya zilizotangazwa na Maelezo
| S/N | Jina La Tangazo | Idadi Ya Nafasi | Jina La Mwajiri |
|---|---|---|---|
| 1 | Mhadhiri Msaidizi (Uongozi Na Utawala Bora) | Nafasi 2 | Chuo Cha Uhasibu Arusha (IAA) |
| 2 | Mhadhiri Msaidizi (Masomo Ya Utalii Na Ukarimu) | Nafasi 1 | Chuo Cha Uhasibu Arusha (IAA) |
| 3 | Mhadhiri Msaidizi (Lugha Ya Kichina) | Nafasi 1 | Chuo Cha Uhasibu Arusha (IAA) |
| 4 | Mhadhiri Msaidizi (Lugha Ya Kifaransa) | Nafasi 1 | Chuo Cha Uhasibu Arusha (IAA) |
| 5 | Mhadhiri Msaidizi (Usimamizi Wa Kumbukumbu Na Taarifa) | Nafasi 2 | Chuo Cha Uhasibu Arusha (IAA) |
| 6 | Mhadhiri Msaidizi (Uandishi Wa Programu Za Kompyuta) | Nafasi 2 | Chuo Cha Uhasibu Arusha (IAA) |
| 7 | Mhadhiri Msaidizi (Usalama Wa Mtandao) | Nafasi 2 | Chuo Cha Uhasibu Arusha (IAA) |
| 8 | Mhadhiri Msaidizi (Usimamizi Wa Rasilimali Watu) | Nafasi 2 | Chuo Cha Uhasibu Arusha (IAA) |
| 9 | Mhadhiri Msaidizi (Usimamizi Wa Ununuzi Na Ugavi) | Nafasi 2 | Chuo Cha Uhasibu Arusha (IAA) |
| 10 | Mhadhiri Msaidizi (Uhasibu Na Fedha) | Nafasi 2 | Chuo Cha Uhasibu Arusha (IAA) |
| 11 | Mhadhiri Msaidizi (Bima Na Hifadhi Ya Jamii) | Nafasi 1 | Chuo Cha Uhasibu Arusha (IAA) |
| 12 | Mhadhiri Msaidizi (Usimamizi Wa Wanyamapori) | Nafasi 1 | Chuo Cha Uhasibu Arusha (IAA) |
| 13 | Dereva Daraja La Pili | Nafasi 5 | Chuo Cha Uhasibu Arusha (IAA) |
| 14 | Msaidizi Wa Mafunzo (Bima) | Nafasi 2 | Chuo Cha Uhasibu Arusha (IAA) |
| 15 | Mhudumu Wa Mapokezi Daraja La Pili | Nafasi 2 | Chuo Cha Uhasibu Arusha (IAA) |
| 16 | Dereva Daraja La Pili | Nafasi 5 | Chuo Cha Uhasibu Arusha (IAA) |
Jinsi ya Kutuma maombi IAA
Barua ya maombi iliyosainiwa iandikwe kwa lugha ya Kiswahili au Kiingereza na ielekezwe kwa:
Secretary,
Presidents Office, Public Service Recruitment Secretariat,
P.O. Box 2320,
Mahakama Street, Tambukareli,
Dodoma.
Mwisho wa kupokea maombi ni tarehe 11 Januari, 2026.
Waombaji watakaoteuliwa katika orodha ya awali (shortlist) pekee ndio watakaopata taarifa kuhusu tarehe ya usaili.
Uwasilishaji wa vyeti vya kughushi au taarifa zisizo za kweli utachukuliwa kama kosa la kisheria na hatua stahiki zitachukuliwa dhidi ya mhusika.
Maombi yote yawasilishwe kupitia Mfumo wa Ajira (Recruitment Portal) kwa kutumia anuani ifuatayo:
http://portal.ajira.go.tz
(Anuani hii pia inapatikana kwenye tovuti ya PSRS kwa kubofya sehemu ya ‘Recruitment Portal’).
Maombi yatakayowasilishwa kwa njia nyingine yoyote tofauti na mfumo uliobainishwa hayatazingatiwa.
Soma zaidi:
Tags: Ajira IAA