Nafasi za Kazi Manispaa ya Mpanda 2025
Bonyeza KUJIUNGA NASI WHATSAPP Kwa nafasi za kazi, matangazo mbalimbali Ajira mpya kutoka Serikalini, Kampuni, Taasisi mbalimbali TAESA, Viwandani, Internships.
Hili hapa tangazo la Nafasi za Kazi kutoka Mkurugenzi wa Manispaa ya Mpanda anawatangazia wananchi wote kuomba nafasi ya kazi ya ajira ya Mkataba kama ifuatavyo:
Ajira mpya zilizotangazwa na Maelezo
1. Mwalimu – Nafasi 5
- Mwalimu wa Hesabu (Mathematics) — Nafasi 02
- Mwalimu wa Sayansi (Science) — Nafasi 01
- Mwalimu wa masomo ya Geography, Art and Sports — Nafasi 01
- Mwalimu wa kusoma na kuandika (Reading and Writing) — Nafasi 01
2. Mpishi – Nafasi 1
3. Walezi wa Watoto – Nafasi 2
Pitia makala:
- Jinsi ya Kuangalia Matokeo ya Kidato cha Nne
- Jinsi ya Kuangalia Matokeo ya Kidato cha Pili
- Fursa 500 za Ajira kwa Madereva Pikipiki UAE (2026)
Masharti ya Jumla wakati wa Kutuma maombi
- Waombaji wote wawasilishe barua za maombi ya kazi zilizoandikwa kwa mkono kwa lugha ya Kiingereza.
- Wawe ni Raia wa Tanzania umri kuanzia miaka 18 na usiozidi miaka 45.
- iWaombaji wote waambatanishe maelezo binafsi yaliyojitokeleza (Detailed Curriculum Vitae) yenye anwani inayotumika, namba za simu zinazopatikana na Anwani ya Barua Pepe (E-mail address) pamoja na majina ya wadhamini (Referees) watatu wa kuaminika.
- Waombaji wote waambatanishe nakala za vyeti vya taaluma vinavyohusiana na nafasi husika pamoja na nakala ya kitambulisho cha NIDA.
- Waombaji waliosoma nje ya nchi wahakikishe vyeti vyao vimehakikiwa na vimethibitishwa na Mamlaka husika (TCU, NECTA na NACTE).
Jinsi ya kutuma Maombi
Barua ya maombi ziletwe moja kwa moja shule ya Awali na Msingi Mpanda Junior. Mwisho wa Kupokea maombi ni Tarehe 02 Januari 2026.
Soma zaidi:
Tags: Mpanda