Nafasi za Kazi TIE 2025
Bonyeza KUJIUNGA NASI WHATSAPP Kwa nafasi za kazi, matangazo mbalimbali Ajira mpya kutoka Serikalini, Kampuni, Taasisi mbalimbali TAESA, Viwandani, Internships.
Hili hapa tangazo la nafasi za kazi / ajira kutoka Taasisi ya Elimu Tanzania (TIE), ni taasisi ya serikali yenye jukumu la kuandaa, kuendeleza, na kuboresha mitaala ya elimu nchini Tanzania. TIE inalenga kuhakikisha elimu inayotolewa inakidhi mahitaji ya kijamii, kiuchumi, kisayansi, na kiteknolojia kwa maendeleo endelevu ya taifa.
Ajira Mpya zilizotangazwa na Maelezo
| S/N | Jina La Tangazo | Idadi Ya Nafasi | Jina La Mwajiri |
|---|---|---|---|
| 1 | Msaidizi Wa Uchapishaji Daraja La Pili (Uhandisi Wa Mitambo) | Nafasi 1 | Taasisi Ya Elimu Tanzania (TIE) |
| 2 | Msaidizi Wa Uchapishaji Daraja La Pili (Uhandisi Wa Umeme) | Nafasi 1 | Taasisi Ya Elimu Tanzania (TIE) |
| 3 | Msaidizi Wa Uchapishaji Daraja La Pili (Sanaa Ya Michoro Na Teknolojia Ya Uchapishaji) | Nafasi 2 | Taasisi Ya Elimu Tanzania (TIE) |
Soma zaidi:
- Nafasi za Kazi TAA 2025
- Nafasi za Kazi IAA 2025
- Nafasi za Kazi NECTA
- Mamlaka ya Viwanja vya Ndege Tanzania(TAA)
- Chuo cha IAA
Jinsi ya Kutuma maombi IAA
Barua ya maombi iliyosainiwa iandikwe kwa lugha ya Kiswahili au Kiingereza na ielekezwe kwa:
Secretary,
Presidents Office, Public Service Recruitment Secretariat,
P.O. Box 2320,
Mahakama Street, Tambukareli,
Dodoma.
Mwisho wa kupokea maombi ni tarehe 11 Januari, 2026.
Waombaji watakaoteuliwa katika orodha ya awali (shortlist) pekee ndio watakaopata taarifa kuhusu tarehe ya usaili.
Uwasilishaji wa vyeti vya kughushi au taarifa zisizo za kweli utachukuliwa kama kosa la kisheria na hatua stahiki zitachukuliwa dhidi ya mhusika.
Maombi yote yawasilishwe kupitia Mfumo wa Ajira (Recruitment Portal) kwa kutumia anuani ifuatayo:
http://portal.ajira.go.tz
(Anuani hii pia inapatikana kwenye tovuti ya PSRS kwa kubofya sehemu ya ‘Recruitment Portal’).
Maombi yatakayowasilishwa kwa njia nyingine yoyote tofauti na mfumo uliobainishwa hayatazingatiwa.
Tags: Tie