Nafasi za Kazi Shirika la ndege Air Tanzania 2025

Filed in Ajira by on December 30, 2025

Bonyeza KUJIUNGA NASI WHATSAPP Kwa nafasi za kazi, matangazo mbalimbali Ajira mpya kutoka Serikalini, Kampuni, Taasisi mbalimbali TAESA, Viwandani, Internships.

Hili hapa tangazo la nafasi za kazi au ajira mpya kutoka Shirika la ndege Air Tanzania (Air Tanzania ATCL) linalotoa huduma za usafiri wa anga ndani na nje ya nchi.

Air Tanzania ina dhamira ya kutoa huduma salama, bora, na za kuaminika kwa abiria na wadau wengine.

Ajira Mpya zilizotangazwa na Maelezo

S/NJina La TangazoIdadi Ya NafasiMahaliTarehe Ya Mwisho
1Msaidizi Wa Huduma Za Upishi Daraja La PiliNafasi 5Dar Es Salaam, Tanzania12/01/2026
2Afisa Huduma Za Upishi Daraja La KwanzaNafasi 4Dar Es Salaam, Tanzania12/01/2026
3Afisa Wa Kumbukumbu Daraja La PiliNafasi 1Dar Es Salaam, Tanzania12/01/2026
4Afisa Rasilimali Watu Daraja La PiliNafasi 3Dar Es Salaam, Tanzania12/01/2026
5Afisa Utawala Daraja La PiliNafasi 1Dar Es Salaam, Tanzania12/01/2026
6Msaidizi Wa Uhasibu Daraja La PiliNafasi 1Dar Es Salaam, Tanzania12/01/2026
7Afisa Wa Uhasibu Daraja La PiliNafasi 2Dar Es Salaam, Tanzania12/01/2026
8Mhasibu Daraja La PiliNafasi 5Dar Es Salaam, Tanzania12/01/2026
9Dereva Daraja La PiliNafasi 4Dar Es Salaam, Tanzania12/01/2026
10Msaidizi Wa Ununuzi Daraja La PiliNafasi 5Dar Es Salaam, Tanzania12/01/2026
11Afisa Ununuzi Daraja La PiliNafasi 2Dar Es Salaam, Tanzania12/01/2026
12Afisa Uhusiano Wa Umma Daraja La PiliNafasi 2Dar Es Salaam, Tanzania12/01/2026
13Afisa Teknolojia Ya Habari Na Mawasiliano Daraja La Pili (Usimamizi Wa Mifumo)Nafasi 1Dar Es Salaam, Tanzania12/01/2026
14Afisa Teknolojia Ya Habari Na Mawasiliano Daraja La Pili (Usimamizi Wa Mitandao)Nafasi 1Dar Es Salaam, Tanzania12/01/2026
15Afisa Teknolojia Ya Habari Na Mawasiliano Daraja La Pili (Uendelezaji Wa Programu)Nafasi 2Dar Es Salaam, Tanzania12/01/2026
16Mkaguzi Wa Ndani Daraja La PiliNafasi 1Dar Es Salaam, Tanzania12/01/2026
17Mkaguzi Mkuu Wa NdaniNafasi 2Dar Es Salaam, Tanzania12/01/2026
18Msaidizi Wa Mauzo Na Masoko Daraja La Pili (Mauzo Na Uhifadhi)Nafasi 12Dar Es Salaam, Tanzania12/01/2026
19Afisa Mauzo Na Masoko Daraja La Pili (Mauzo Na Uhifadhi)Nafasi 10Dar Es Salaam, Tanzania12/01/2026
20Afisa Mauzo Na Masoko Daraja La Kwanza (Mtendaji Wa Mauzo)Nafasi 5Dar Es Salaam, Tanzania12/01/2026
21Afisa Mauzo Na Masoko Daraja La Kwanza (Masoko Ya Kidijitali Na Ubunifu Wa Maudhui)Nafasi 3Dar Es Salaam, Tanzania12/01/2026
22Afisa Mauzo Na Masoko Daraja La Pili (Mtendaji Wa Mauzo)Nafasi 6Dar Es Salaam, Tanzania12/02/2026
23Afisa Ratiba Za Wahudumu Wa Ndege Daraja La PiliNafasi 8Dar Es Salaam, Tanzania12/01/2026

Soma zaidi:

Jinsi ya Kutuma maombi ATCL

Barua ya maombi iliyosainiwa iandikwe kwa lugha ya Kiingereza na ielekezwe kwa:

Managing Director & CEO,
Air Tanzania Company Limited,
P.O. Box 543,
Dar es Salaam.

Mwisho wa kupokea maombi ni tarehe 12 Januari, 2026.

Waombaji watakaoteuliwa katika orodha ya awali (shortlist) pekee ndio watakaopata taarifa kuhusu tarehe ya usaili.

Uwasilishaji wa vyeti vya kughushi au taarifa zisizo za kweli utachukuliwa kama kosa la kisheria na hatua stahiki zitachukuliwa dhidi ya mhusika.

Maombi yote yawasilishwe kupitia Mfumo wa Ajira (Recruitment Portal) kwa kutumia anuani ifuatayo:
https://recruitment.atcl.co.tz
(Anuani hii pia inapatikana kwenye tovuti ya Air Tanzania kwa kubofya sehemu ya ‘Recruitment Portal’).

Bonyeza hapa kudownload PDF

Maombi yatakayowasilishwa kwa njia nyingine yoyote tofauti na mfumo uliobainishwa hayatazingatiwa.

Soma zaidi pia:

Tags:

Comments are closed.