Ajira
Nafasi za Kazi Shirika la ndege Air Tanzania 2025
Hili hapa tangazo la nafasi za kazi au ajira mpya kutoka Shirika la ndege Air Tanzania (Air Tanzania ATCL) linalotoa huduma za usafiri wa anga ndani na nje ya nchi. Air Tanzania ina dhamira ya kutoa huduma salama, bora, na za kuaminika kwa abiria na wadau wengine. Ajira Mpya zilizotangazwa na Maelezo S/N Jina La […]
Nafasi za Kazi UDOM 2025
Hili hapa tangazo la nafasi za kazi au ajira Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM), ni chuo kikuu cha umma nchini Tanzania chenye jukumu la kutoa elimu ya juu, kufanya utafiti, na kutoa huduma kwa jamii. UDOM inalenga kuandaa wahitimu wenye maarifa, ujuzi, na maadili kwa maendeleo ya taifa na ushindani wa kimataifa. Ajira Mpya zilizotangazwa […]
Ajira za Konstebo wa Uhamiaji – Desemba 2025
Tangazo Rasmi la Ajira za Konstebo wa Uhamiaji – Desemba 2025 hadi Januari 2026 Maombi yatume kupitia mfumo wa ajira e-recruitment.immigration.go.tz. Tangazo hili limetolewa na Kamishna Jenerali wa Uhamiaji kwa mujibu wa Kifungu Na. 11(1) cha Kanuni za Uendeshaji za Uhamiaji za Mwaka 2018, likitangaza nafasi za Ajira Mpya za Konstebo wa Uhamiaji kwa vijana […]
Fursa 500 za Ajira kwa Madereva Pikipiki UAE (2026)
Tangazo la Fursa 500 za Ajira kwa Madereva Pikipiki UAE (2026) maombi yatumwe kwenye mfumo wa Ofisi ya Waziri Mkuu – Kazi, Ajira na Mahusiano kwa kushirikiana na kampuni ya Target Tours and Labour Supply Company Limited, inawatangazia Watanzania wenye sifa stahiki kutuma maombi ya ajira ya Madereva wa Pikipiki ili kujaza nafasi 500 zilizoidhinishwa […]
Nafasi za Kazi Wilaya ya Songwe 2025
Hili hapa tangazo la nafasi za kazi Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Songwe anawatangazia Watanzania wenye sifa kuomba nafasi za kazi tano (5) katika Halmashauri hii baada ya kupata kibali kutoka kwa Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora kwa mchanganuo ufuatao: – Ajira mpya zilizotangazwa na Maelezo […]
Nafasi za kazi NACTVET 2025
Hili hapa tangazo la nafasi za kazi au ajira mpya kutoka Baraza la Taifa la Elimu ya Ufundi na Mafunzo ya Ufundi Stadi (NACTVET), ni taasisi ya serikali yenye jukumu la kusimamia, kuratibu, na kudhibiti elimu na mafunzo ya ufundi stadi nchini Tanzania. NACTVET inalenga kuhakikisha mafunzo ya ufundi stadi yanakuwa na ubora, yanayokidhi mahitaji […]
Nafasi za kazi TLSB 2025
Hili hapa tangazo la nafasi za kazi au ajira mpya kutoka Bodi ya Huduma za Maktaba Tanzania (TLSB), ni taasisi ya serikali inayohusika na maendeleo, usimamizi, na uendeshaji wa huduma za maktaba nchini Tanzania. TLSB inalenga kukuza utamaduni wa kusoma, kujifunza, na kupata taarifa sahihi kwa maendeleo ya elimu, jamii, na taifa kwa ujumla. Ajira […]
Nafasi za Kazi TIE 2025
Hili hapa tangazo la nafasi za kazi / ajira kutoka Taasisi ya Elimu Tanzania (TIE), ni taasisi ya serikali yenye jukumu la kuandaa, kuendeleza, na kuboresha mitaala ya elimu nchini Tanzania. TIE inalenga kuhakikisha elimu inayotolewa inakidhi mahitaji ya kijamii, kiuchumi, kisayansi, na kiteknolojia kwa maendeleo endelevu ya taifa. Ajira Mpya zilizotangazwa na Maelezo S/N […]
Nafasi za Kazi TAA 2025
Hili hapa tangazo la nafasi za kazi (ajira) Mamlaka ya Viwanja vya Ndege Tanzania(TAA), ni wakala wa serikali unaohusika na usimamizi, uendeshaji, na maendeleo ya viwanja vya ndege vinavyomilikiwa na serikali nchini Tanzania. TAA inalenga kuhakikisha usafiri wa anga unakuwa salama, wenye ufanisi, na unaochangia maendeleo ya uchumi na jamii. Ajira Mpya zilizotangazwa na Maelezo […]
Nafasi za Kazi IAA 2025
Hili hapa tangazo la nafasi za kazi (ajira) Chuo Cha Uhasibu Arusha (IAA), maarufu kama IAA, ni taasisi ya elimu ya juu ya umma nchini Tanzania inayotoa mafunzo ya kitaaluma na kitaalamu katika nyanja za uhasibu, biashara, usimamizi, teknolojia ya habari, na sayansi za jamii. Chuo cha IAA inalenga kuzalisha wahitimu wenye ujuzi wa vitendo, […]